Matendo Ya Mitume 3:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama Musa alivy osema, ‘Bwana Mungu atawateulia nabii kati ya ndugu zenu kama alivyoniteua mimi. Mtamtii huyo kwa kila jambo atakalowaambia.