Matendo Ya Mitume 3:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
na mpate nguvu za kiroho kutoka kwa Bwana. Naye atampeleka Kristo, yaani Yesu, ambaye alichaguliwa tangu awali kwa ajili yenu.