Matendo Ya Mitume 3:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
wakam tambua kuwa ni yule mlemavu aliyekuwa akiketi nje ya Hekalu penye lango akiomba omba. Wakashangaa mno kuhusu maajabu yaliyomtokea.

Petro Anashuhudia Kuwa Yesu Aponya