Matendo Ya Mitume 28:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo alikuwa amekusanya kuni nyingi na alipokuwa akiziweka kwenye moto, aka toka humo nyoka mwenye sumu akikimbia ule moto akajisokotea kwe nye mkono wa Paulo.