Matendo Ya Mitume 28:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wenyeji wa kisiwa hicho walitufanyia ukarimu wa ajabu, wakawasha moto na kutukaribisha kwa maana mvua ilikuwa inanyesha na kulikuwa na baridi kali.