Matendo Ya Mitume 28:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na hapa tuliwakuta waamini ambao walitukaribisha tukae nao kwa siku saba. Ndipo tukaendelea na safari mpaka tukafika Rumi.