Matendo Ya Mitume 28:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kutoka huko tuka zunguka tukafika Regio; na baada ya siku moja, upepo mkali uka vuma kutoka kusini, na siku ya pili tukafika Puteoli.