Matendo Ya Mitume 27:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo nawasihi mle chakula kwa maana mnakihi taji ili muweze kuishi. Hakuna mmoja wenu atakayepoteza hata unywele mmoja kichwani mwake.”