Matendo Ya Mitume 27:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mapambazuko yalipokaribia, Paulo akawasihi watu wote wale chakula akisema, “Leo ni siku ya kumi na nne mmekuwa katika wasiwasi bila kula cho chote.