Matendo Ya Mitume 24:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hawa wanaonish taki hawakunikuta nikibishana na mtu ye yote au nikianzisha fujo katika Hekalu au katika sinagogi au mahali pengine po pote mjini.