Matendo Ya Mitume 24:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Unaweza kuhakikisha kwa urahisi kuwa hazijapita zaidi ya siku kumi na mbili tangu nilipokwenda Yerusalemu kuabudu.