Matendo Ya Mitume 23:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kesho yake wakarudi kituoni wakawaacha wale askari wa mikuki waendelee na safari pamoja na Paulo.