Matendo Ya Mitume 23:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi wale askari wakamchukua Paulo usiku wakampeleka mpaka Antipatri kama walivyoamriwa.