Matendo Ya Mitume 22:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
“Mtu mmoja aitwaye Anania, mtu wa dini, aliyeshika sana sheria zetu, na ambaye aliheshimiwa sana na Wayahudi wote wa Dameski,