Matendo Ya Mitume 22:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nilikuwa sioni kwa sababu ya ule mwanga mkali kwa hiyo wenzangu wakanishika mkono wakaniongoza na hivyo tukafika Dameski.