Matendo Ya Mitume 21:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tuliendelea na safari yetu kutoka Tiro tukafika Tolemai, tukawasalimu waamini wa huko na tukakaa nao kwa siku moja.