Matendo Ya Mitume 21:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akajibu, “Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso, jimbo la Kilikia na raia wa mji wenye sifa. Tafadhali niruhusu nizungumze na hawa watu.”