Matendo Ya Mitume 21:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya maelezo yake wote walimtukuza Mungu. Ndipo wakamwambia, “Unavyoona ndugu, kuna maelfu ya Wayahudi walioamini; nao wote wanaishika sheria kwa bidii.