Matendo Ya Mitume 21:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tulipokwisha agana nao tuliondoka tukasafiri moja kwa moja, mpaka Kosi, na siku ya pili yake tukafika Rodo, na kutoka huko tukaenda Patara.