Matendo Ya Mitume 20:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na hata kati yenu ninyi patatokea watu watakaosema maneno ya kupotosha ili wawavute baadhi ya wanafunzi wawafuate.