Matendo Ya Mitume 20:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kutoka Mitilene tuliendelea kwa meli na kesho yake tukafika pwani ya upande wa pili wa Kio. Siku iliyofuata tukafika Samo na kesho yake tukawasili Mileto.