Matendo Ya Mitume 2:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wote waliopokea ujumbe wa Petro walibatizwa na zaidi ya watu elfu tatu wal iongezeka katika kundi la waamini siku hiyo.

Ushirika Wa Waamini