Matendo Ya Mitume 2:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro aliwasihi kwa maneno mengine mengi na kuwaonya akisema, “Jiepusheni na kizazi hiki kiovu.”