Matendo Ya Mitume 19:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo akaingia katika sinagogi na kwa muda wa miezi mitatu akafundisha kwa ujasiri akitumia kila njia kueleza juu ya Ufalme wa Mungu.