Matendo Ya Mitume 19:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia , wakasema kwa lugha mpya na kutabiri.