Matendo Ya Mitume 19:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mji mzima ukajaa vurugu, waka kimbilia katika ukumbi wa michezo kwa pamoja wakawakamata Gayo na Aristarko, Wamakedonia waliokuwa wakisafiri na Paulo.