Matendo Ya Mitume 19:24

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu mmoja aitwaye Demetrio mhunzi wa vinyago vya fedha alikuwa akitengeneza vihekalu vya fedha vya Artemi na kuwa patia mafundi wake biashara kubwa.