Matendo Ya Mitume 19:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akatuma wasaidizi wake wawili, Timotheo na Erasto, waende Makedonia, naye akakaa Asia kwa muda kidogo zaidi.