Matendo Ya Mitume 19:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wakachukua vitambaa na taulo ambazo zilikuwa zimegusa mwili wa Paulo wakawawekea wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao na pepo wachafu wakawatoka.