Matendo Ya Mitume 18:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Alipofika Kaisaria alikwenda kuwasalimu ndugu katika kanisa kisha akaelekea Antiokia.