Matendo Ya Mitume 18:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipofika Efeso Paulo aliwaacha Prisila na Akila, akaenda katika sinagogi akawa akijadiliana na Wayahudi.