Matendo Ya Mitume 18:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamkamata Sosthene, kiongozi wa sinagogi, wakampiga mbele ya mahakama. Wala Galio hakuingilia kati.

Paulo Arudi Antiokia