Matendo Ya Mitume 18:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamshitaki wakisema, “Mtu huyu anawashawishi watu wamwabudu Mungu kinyume cha sheria zetu.”