Matendo Ya Mitume 18:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo Paulo akakaa Korintho kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha waamini neno la Mungu.