Matendo Ya Mitume 17:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Waathene waliposikia juu ya ufufuo wa wafu, baadhi yao wakamdhihaki; lakini wengine wal isema, “Tutataka kusikia tena juu ya habari hii.”