Matendo Ya Mitume 17:31

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa kuwa amepanga siku ambayo atahukumu ulimwengu kwa haki akimtumia mtu aliyemchagua, ambaye amemhakikisha kwa watu wote kwa kumfufua kutoka kwa wafu.”