Matendo Ya Mitume 17:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Paulo alipokuwa akiwangojea wenzake huko Athene alisikit ishwa sana kuona jinsi mji ulivyojaa miungu ya sanamu.