Matendo Ya Mitume 17:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale waliomsindikiza Paulo walienda naye mpaka Athene. Ndipo wakarudi Beroya wakiwa na maagizo kutoka kwa Paulo kwamba, Sila na Timotheo wamfuate upesi iwezekanavyo.

Paulo Ahubiri Huko Athene