Matendo Ya Mitume 16:38

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule askari akarudi kwa wale mahakimu kuwaeleza maneno haya, nao wakaogopa sana walipofa hamu kuwa Paulo na Sila ni raia wa Kirumi.