Matendo Ya Mitume 16:37

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Paulo akawaambia, “Wametuchapa viboko hadharani bila kufanya kesi na kutoa hukumu, na sisi ni raia wa Kirumi. Je, sasa wana taka kututoa gerezani kisiri siri? Hii si haki! Waambieni wao waje watutoe humu gerezani wenyewe.”