Matendo Ya Mitume 16:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Aka wachukua, akawaandalia chakula nyumbani kwake, naye akafurahi pamoja na jamaa yake kwa kuwa alikuwa amemwamini Mungu.