Matendo Ya Mitume 16:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yule askari akawachukua saa ile ile akaosha majeraha yao, naye akabatizwa pamoja na wote waliokuwa nyumbani kwake.