Matendo Ya Mitume 13:48

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu wa mataifa mengine waliposikia maneno haya walifurahi, wakalitukuza neno la Mungu; na wote waliochaguliwa kwa ajili ya uzima wa milele wakaamini.