Matendo Ya Mitume 13:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana Bwana ametuagiza akisema, ‘Nimewaweka ninyi kuwa nuru kwa watu wa mataifa, ili mpeleke wokovu hadi pembe zote za dunia.”’