Matendo Ya Mitume 11:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Habari hizi zilipowafikia vion gozi wa kanisa huko Yerusalemu, walimtuma Barnaba aende Antiokia.