Matendo Ya Mitume 11:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Roho wa Bwana alikuwa pamoja nao kwa hiyo watu wengi wakaamini na kumgeukia Bwana.