Matayo 5:47

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, mnafanya nini zaidi ya wengine? Hata watu wa mataifa wasiomjua Mungu, hufanya hivyo.