Matayo 5:46

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama mkiwapenda wanaowapenda tu, mtapata thawabu gani? Hata wenye dhambi hufanyiana hivyo.