Matayo 5:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
na kama mtu akitaka kukushtaki achukue shati lako, mwachie achukue na koti pia.