Matayo 5:39

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini mtu akikupiga kwenye shavu la kulia, mgeuzie na shavu la kushoto pia;